Header Ads

Tetesi kubwa za Soka Ulaya

 

Neymar ameshafanyiwa vipimo vya afya kukamilisha uhamisho wake Al Hilal. Mbrazil huyo mwenye miaka 31 anaondoka Paris Saint-Germain na kutua kwa waarabu hao kwa uhamisho wa kudumu na kupewa mkataba wa miaka 2 (Orstain).

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.