Header Ads

SIMBA KUVAANA NA MTIBWA LIGI KUU NBC

 

KLABU ya Soka ya Simba itashuka Dimbani Agosti 16/2023 kukabiliana na Klabu ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Manungu Turiani.

Mchezo huo utachezwa majira ya Saa 10:00 Jioni ambapo kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba inashika nafasi ya 7 na Mtibwa nafasi ya 8 huku timu zote zikiwa ndio michezo yao ya kwanza.

JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.chombohurumedia .blogspot.com ku-install App ya chombohurumedia,  bila ya kuingia website

Tweet@chombo huru media,Youtube@chombo huru media, Facebook@chombo huru media, Instagram @chombohuru­­_media



No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.