Header Ads

SIMBA YAINYUKA MTIBWA 4-2 MANUNGU

KLABU ya Soka ya Simba imeibuka na ushindi wa Magoli 4-2 dhidi ya Timu ya Mtibwa Sugar katika mchezo uliochezwa Agosti 17/2023 Uwanja wa Turiani Manungu.

Magoli ya Simba yamewekwa kimyani na Baleke dakika ya 5, Onana dakika ya 8 , Ngoma dakika ya 44 pamoja na Chama .

Magoli ya Mtibwa yamefungwa na Matheo Anthony dakika ya 20 na dakika ya 22.

Kwa matokeo hayo Simba inashika nafasi ya 2 na Mtibwa Sugar nafasi ya 14 ikishikilia mkia.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.