Header Ads

BAADHI ya Picha zikionesha maendeleo ya Mradi wa Soko Kuu la Kisasa Halmashauri ya Manispaa Morogoro lililofikia 78% kukamilika wenye Thamani ya Shilingi Bilioni 17.Picha Novemba 22/2019


Muonekano wa nje wa Soko hilo.
Muonekano wa mazingira ya kati kati ya Soko.

Baadhi ya Fremu za Maduka zilizopo  nje ya Soko hilo.
Baadhi ya Vizimba vilivyopo ndani ya Soko hilo.







No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.