Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro , Mhe. Pascal Kihanga (wapili kutoka kulia), kati kati Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Mhe Isihaka Sengo, pamoja na Mwenyekiti wa Mipango Miji, (kushoto), Mhe Diwani wa Kata ya Mwembe Songo, Ally Rashid Kalungwana wakipata maelekezo mafupi mara baada ya kutembelea mradi wa Soko Kuu la Kisasa Morogoro
|
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba (kulia), Mstahiki Meya wa Manispaa Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga (wapili kutoka kulia, Naibu Meya Manispaa Morogoro , Mhe. Isihaka Sengo (watatu kutoka kulia) pamoja na Mwernyekiti wa Mipango Miji , Mhe Diwani Ally Kalungwana wakipeana maelekezo wakati wa ziara ya Kamati ya Fedha na Mipango kutembelea Mradi wa Soko Kuu la Kisasa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro. |
|
Mradi wa Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ukiendelea na kasi ya ujenzi na maendeleo ulipofikia hadi sasa kwa asilimia 75%. |
Mradi wa Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ukiendelea na kasi ya ujenzi na maendeleo ulipofikia hadi sasa kwa asilimia 75%.
|
Wajumbe wa Kamati ya Fedha na Mipango Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa, Mhe. Pascal Kihanga, Naobu Meya wa Manispaa, Mhe. Isihaka Sengo , Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba, Mhandisi wa miradi ya benki kuu ya dunia pamoja na mahandisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Eng. Juma Gwisu wakishauriana jambo wakati wa zaiara hiyo. |
|
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba (kulia),Mwernyekiti wa Mipango Miji , Mhe Diwani Kata ya Mwembe Songo, Ally Kalungwana (kati kati), Mstahiki Meya wa Manispaa Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga( kushoto) wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Mhandisi wa Halmaashauri ya Manispaa ya Morogoro, Eng. Juma Gwisu wakati wa ziara ya Kamati ya Fedha na Mipango kutembelea Mradi wa Soko Kuu la Kisasa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro. |
|
Wajumbe wa Kamati ya Fedha na Mipango Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa, Mhe. Pascal Kihanga, Naibu Meya wa Manispaa, Mhe. Isihaka Sengo , Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba, Mhandisi wa miradi ya benki kuu ya dunia pamoja na mahandisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Eng. Juma Gwisu wakishauriana jambo wakati wa zaiara hiyo. |
|
Mstahiki meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro na Diwani wa Kata ya Mazimbu, Mhe. Pascal Kihanga, akikagua ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa Morogoro, anayefuatia nyuma ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Fedha na Mipango. |
|
Mhandisi wa Manispaa ya Morogoro, Eng. Juma Gwisu, (kushoto) akisoma taarifa fupi ya mradi wa Soko Kuu la Kisasa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro mbele ya Kmati ya Fedha na Mipango, (kulia) Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga na kati kati Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba. |
|
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, akipandisha ngazi katika Ujenzi wa Soko kuu la kiasasa kwa ajili ya ukaguzi wa kujua maendeleo ya soko hilo unavyokwenda. |
|
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga (kulia), kati kati Mchumi wa Manispaa, pamoja na Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe Isihaka Sengo (kushoto) wakikagua ujenzi wa Soko kuu la kisasa Morogoro. |
|
Katibu Tawala Wilaya ya Morogoro (kulia), akiwa katika ziara ya kutembelea mradi wa Soko Kuu la Kisasa la Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro. |
|
Katapila likiendelea na kazi ya kuchimbua katika Ujenzi wa Mradi wa Soko kuu la kisasa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro. |
|
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro (kushoto), akikagua rangi zilizopangwa kwa ajili ya kutumika katika ujenzi wa mradi wa Soko kuu la kisasa Morogoro. |
|
Ujenzi wa Soko kuu la kisasa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro unaendela kwa kasi umefikia asilimia 75%. |
Post a Comment