Header Ads

Picha mbali mbali za semina ya Mafunzo ya Wakuu wa Idara Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro yaliyoanzishwa na Mkurugenzi Sheilla Lukuba .

Afisa Utumishi Manispaa ya Morogoro, Ndug. Waziri Kombo, akifungua semina ya Mafuzunzo ya uzingatiaji wa Kanuni, Sheria na Taratibu za Utumishi wa Umma kwa Wakuu wa Idara hivi karibuni kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa, Sheilla Lukuba. PICHA IDARA YA HABARI.

Mkufunzi wa Mafunzo kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dkt. Masue, akiendelea na semina kwa Wakuu wa Idara.



Mkufunzi wa Mafunzo kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dkt Ringo, akitoa maelekezo mafupi kwa washiriki wa semina.








Baadhi ya Washiriki wa Semina wakiwa katika masomo. 

Mratibu wa Kuzuia na kudhibiti maambukizi ya Ukimwi, Manispaa ya Morogoro, Upendo Elias, akitoa maoni yake juu ya semina hiyo na kumpongeza Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro kwa kuanzisha mafunzo hayo.

Afisa Mifugo na Uvuvi Manispaa ya Morogoro, Ndg. Mohamed Chamzhim, akielezea juu ya faida ya kuwepo kwa mafunzo hayo.


No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.