Header Ads

PICHA mbali mbali zikionesha Mkuu wa Wilaya Morogoro Mhe.Regina Chonjo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, pamoja na Msimamizi wa Uchaguzi Manispaa ya Morogoro Ndug. Waziri Kombo wakitembelea Vituo vya Uchaguzi leo Novemba24,2019.

MKUU wa Wilaya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, akisalimiana na Wananchi waliojitokeza kupiga kura Kata ya Mazimbu Mtaa wa Modeco B, aliyenyuma yake mwenye tisheti nyeupe  ni Mkurugenzi wa Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba. PICHA NA IDARA YA HABARI


Baadhi ya Wapiga kura wakiendelea na zoezi la Uchaguzi leo mapema asubuhi baada ya kituo kufunguliwa.


Msimamizi wa Uchaguzi  Serikali za Mitaa Manispaa ya Morogoro, Ndug. Waziri Kombo.

Mkuu wa Wilaya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo (kushoto), akizungumza na Wananchi mara baada ya kufika kutembelea Vituo vya uchaguzi ili kujua maendeleo , (katikati), Mkurugenzi Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba, (kulia), Msimamizi wa Uchaguzi Manispaa Morogoro, Ndug. Waziri Kombo.

MKURUGENZI wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, akijaribu kutoa maelekezo kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi.


Sanduku la kupigia kura.

Mwananchi akipiga kura leo.

Baadhi ya Watumishi wa Manispaa ya Morogoro, wakifuatilia kwa ukaribu zoezi la upigaji wa kura Uchaguzi Serikali za Mitaa leo.



Masanduku ya kupigia kura kura 


 
Mwananchi akitoa maoni yake juu ya zoezi la upigaji kura .
Msimamizi wa Uchaguzi Manispaa Morogoro, Ndug, Waziri Kombo (kushoto) akitoa maelekezo kwa Msimamizi wa kituo cha Uchaguzi Kata ya Mindu Mtaa wa Kasanga.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.