Header Ads

Picha Mbali mbali zikionesha matukio yaliyofanywa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro akifungua mafunzo ya Wafanyakazi wasaidizi kuhusu Uzingatiaji wa kanuni, Sheria na taratibu za Utumishi wa Umma Leo Novemba 11, 2019 kwenye Ukumbi wa Kilimo Manispaa ya Morogoro; PICHA NA IDARA YA HABARI MANISPAA


Mkurugenzi Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba,  akifungua rasmi mafunzo hayo kwa watumishi.

Mkurugenzi Manispaa Morogoro akisaini daftari  baada ya kuingia katika Ukumbi kuashiria  tayari ufunguzi rasmi wa mafunzo.




Mkurugenzi Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba akiwaaga washiriki wa mafunzo mara baada ya kufungua mafunzo hayo

Afisa Utumishi Manispaa ya Morogoro, Ndugu Waziri Kombo, akitoa neno wakati wa kumkaribisha Mkurugenzi wa Manispaa tayari kwa ufunguzi wa mafunzo.

Washiriki wa mafunzo wakiwa tayari kwa mafunzo

Washiriki wa mafunzo wakiwa tayari kwa mafunzo







No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.