Header Ads

Picha mbali mbali zikionesha matukio ya hafla fupi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Mhe Sheila Lukuba akipokea Cheti leo Novemba 5, 2019, kutoka kwa Shirika la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA)



Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheila Lukuba, akipokea cheti kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirika la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA), Ndugu Faustine France leo Novemba 5, 2019 Ofisini kwake.
Mkurugenzi wa Manispaa Morogoro, Sheila Lukuba, akipokea maelezo mafupi kutoka katika Uongozi wa Shirika la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA), aliyevaa Brauzi Nyeusi kushoto , Afisa Habari Manispaa, Bi Lilian Henerico.


No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.