Header Ads

Picha za matukio za Mkurugenzi Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba, akikagua Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mji Mpya iliyojengwa katika MuonekanaUjenzi wa Kisasa baada ya kupisha mradi wa Reli ya Umeme, Leo Novemba 13, 2019

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, akimwelekeza jambo Mwandishi wa habari wakati wa ukaguzi wa Shuele hiyo .

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mji Mpya, Mwl. Zakayo John (kati kati) akitoa maelezo mafupi kwa mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba. kushoto ni Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Morogoro, Dkt. Janeth Barongo.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, akisaini kitabu cha wageni leo katika Shule ya Sekondari Mji Mpya wakati wa ziara yake ya kukagua Shule hiyo pamoja na kujua maendeleo ya Wanafunzi.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba (aliyekaa chini watatu kutoka kulia), akiambatana na baadhi ya  Watumishi kutoka Manispaa, wakipokea maelekezo mafupi kutoka kwa Uongozi wa Shule ya Sekondari Mji Mpya kabla ya kuanza kukagua mradi huo wa ujenzi leo.

Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Morogoro, Dkt. Janeth Barongo, akisaini kitabu cha wageni leo wakati wa ziara ya ukaguzi wa Shule ya Sekondari Mji Mpya.


Mkuu wa Shule ya Sekondari Mji Mpya, Mwl Zakayo John (kushoto) akimuelekeza jambo Mhandisi wa Manispaa ya Morogoro (kati kati), Eng. Juma Gwisu, wakati wa ziara ya  Mkurugenzi wa Manispaa Morogoro kukagua ujenzi wa Shule hiyo leo.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba (kushoto, wa pili kulia ni Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Morogoro, Dkt Janeth Barongo, kati kati Mkuu wa Shule ya Sekondari Mji Mpya, Mwl Zakayo John wakiteta jambo wakati wa ukaguzi wa ujenzi huo.

Mkurugenzi   wa  Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, (Kulia), akiwa na Mkuu wa Shule ya Sekondari Mji Mpya , Mwl. Zakayo John, leo wakati wa kukagua Ujenzi wa Shule hiyo.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba , akieleza jambo juu ya ujenzi huo ,huku akiwataka Waalimu kuwafundisha Wanafunzi jinsi ya kulinda mazingira pamoja na majengo hayo kwa maendeleo ya kizazi kijacho.

Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Morogoro, Dkt. Janeth Barongo, akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari  leo kwenye ukaguzi wa mradi huo.

Mkuu wa Shule( Head Master) , Zakayo John,  Shule ya Sekondari Mji Mpya 

Vyoo vya Wanafunzi wa Kiume Shule ya Sekondari Mji Mpya.


Baadhi ya Madarasa Shule ya Sekondari Mji Mpya.

Baadhi ya Madarasa Shule ya Sekondari Mji Mpya.


Wanafunzi wakiwa mapumziko


Baadhi ya Madarasa Shule ya Sekondari Mji Mpya


Wanafunzi wakiwa katika vipindi vya Masomo 

Muonekano wa Nyumba za Waalimu wa Shule ya Sekondari Mji Mpya iliyopo kata ya Mkundi.

Shule ya Kisasa ya  Sekondari Mji Mpya Manispaa ya Morogoro 

Muonekano wa Nyumba za Waalimu wa Shule ya Sekondari Mji Mpya.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.