Header Ads

PICHA ZA MATUKIO ZIKIONYESHA MKUU WA WILAYA YA MOROGORO , MHE. REGINA CHONJO, AKIWA PAMOJA NA TIMU YA WATAALAMU WA AFYA MANISPAA YA MOROGORO KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA CORONA KATIKA STENDI YA MABASI MSAMVU.

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, akitoa elimu juu ya kujikinga na Ugonjwa wa Corona kwa wasafiri katika Stendi ya Mabasi Msamvu, (kushoto) Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro, Dr. Ikaji Rashidi na (katikati), Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Mohamed Chamzhim.

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, akitoa elimu juu ya kujikinga na Ugonjwa wa Corona kwa wasafiri katika Stendi ya Mabasi Msamvu, (kushoto) Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro, Dr. Ikaji Rashidi na (katikati), Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Mohamed Chamzhim.
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, akionyesha mfano wa kujikinga na chafya kama mtu hana kitambaa ili kuzuia kusambaza matone yanayotoka kinywani kuingia kwa mtu mwengine.



Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, akiwanyunyizia abiria dawa ya kusafisha mikono (hand sanitizer) kwa ajili ya kujikinga na virusi vya Corona.

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, akiinhia ndani ya basi kwa ajili ya kutoa elimu kwa abiria juu ya kujikinga na Ugonjwa wa Corona.
Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro, Mohamed Chamzhim, akifafanua jambo na kutoa maelekezo kwa wataalamu wa afya walipotembelea Kituo cha  Mabasi Msamvu.
Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Morogoro, Dr. Assela Kavila, akitoa elimu juu ya ugonjwa wa Corona na jinsi ya kujikinga kwa wasafiri katika Kituo cha Mabasi Msamvu.


 
Afisa Ustawi wa Jamii, Sidina Mathias, akinyunyiza dawa kwenye vyuma meaneo wanapopita abiria katika Stendi ya Mabasi Msamvu.
 
 
 
NB: Kwa yeyote mwenye viashiria vya ugonjwa huo atoe taarifa kwa kupiga namba ya simu : 0800110124/5. Kinga ni bora kuliko tiba!










No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.