KUTOKA MAKTABA: UZINDUZI WA AGENDA ZA KITAIFA ZA UTAFITI WA MASUALA YA MIFUGO, UVUVI NA UKUZAJI VIUMBE MAJI KWA MWAKA 2020/2025 SUO MOROGORO
Siku ya Jumamosi tarehe 16 Novemba 2019, Wizara ya mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) walizindua agenda za kitaifa za utafiti wa masuala ya Mifugo, Uvuvi na Ukuzaji viumbe maji kwa mwaka 2020/2025, tukio ambalo lilifanyika katika ukumbi wa Nelson Mandela Freedom Square, Chuo Kikuu cha Sokoine Kampasi ya Solomon Mahlangu. |
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mh. Luhaga Mpina akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Agenda za Kitaifa za Utafiti wa Mifugo, Uvuvi na Ukuzaji wa Viumbe Maji ya mwaka 2020-2025, wanaoshuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mh. Loata Ole Sanare, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mh. Abdalah Ulega na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu SUA, Profesa Raphael Chibunda |
Post a Comment