Header Ads

Picha mbalimbali zikionyesha matukio ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe.Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wa Mkoa wa Morogoro ya kuzuru Makaburi ya waliofariki kwa ajali ya Moto Msamvu Manispaa ya Morogoro.


Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim majaliwa, akitoa maelekezo wakati wa kuzuru Makaburi ya Marehemu wa ajali ya Moto Msamvu iliyotokea tarehe 10/8/2020 Manispaa ya Morogoro. (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Loata Sanare.
Waziri Mkuu wa Tanzania , Mhe. Kasssim Majaliwa (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Loata Sanare (katikati), Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, mhe. Regina Chonjo (kushoto), nyuma Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, wakiwa katika dua ya pamoja ya kuwaombea Marehemu wa ajali ya Moto walizikwa katika makuburi ya pamoja Manispaa ya Morogoro.




Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, (wapili kutoka kushoto),Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Eng. Emmanuel Kalobelo (kushoto),pamoja na viongozi wa Kamati ya Ulizni na Usalama wakiwa katika mapokezi ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa kuzuru Makaburi ya waliofariki kwa ajali ya moto Msamvu.





Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Eng. Emmanuel Kalobelo (katikati), Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo (kulia), Mhandisi wa Manispaa ya Morogoro, Eng. Juma Gwisu (kushoto)  nyuma ya Mkuu wa Wilaya ni Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Sheilla Lukuba.





Ramani ya Mchoro wa ujenzi wa Makuburi ya waliokufa kwa ajali ya Moto Msamvu inavyoonekana hapo.

Makaburi ya waliokufa kwa ajali ya Moto Msamvu.



No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.