Header Ads

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA MAKABIDHIANO YA MADAWATI 100 SHULE YA MSINGI MAFISA "A" MANISPAA MOROGORO CHINI YA UFADHILI WA T.A.G USHARIKA MWEMBESONGO.


             

KAIMU Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro , Gabriel Paul, (wapili kulia) akipokea msaada wa Madawati 100 kutoka  kwa Mchungaji Kioingozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G) , Bethel Revival Temple, Mtaa wa Mwembesongo Manispaa ya Morogoro , Dkt. Barnabas Mtokambali madawati yaliyotolewa kwa Shule ya Msingi Mafisa A Kata ya Mwembesongo.

          

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G) , Bethel Revival Temple, Mtaa wa Mwembesongo Manispaa ya Morogoro , Dkt. Barnabas Mtokambali ,akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 100 katika Shule  ya Msingi Mafisa A Kata ya Mwembesongo.

Picha Wanafunzi wakiwa wamekalia Madawati yaliyofadhiliwa kwa ufadhili wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G) , Bethel Revival Temple, Mtaa wa Mwembesongo Manispaa ya Morogoro  chini ya Mchungaji ,Dkt. Barnabas Mtokambali
Picha za Viongozi mbalimbali za Makabidhiano ya Madawati  

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.