MAANDALIZI KILELE SIKU YA WATU WENYE UALBINO DUNIANI: TAS NA WADAU WATEMBELEA WATOTO MTAA RUVUMA MANISPAA YA MOROGORO KATA YA MLIMANI NA KUGAWA ZAWADI YA VIFAA VYA SHULE JUNI 04/2022 .
Mwenyekiti wa Chama Cha Watu wenye Ualbino Mkoa wa Morogoro ( TAS), Hassan Mikazi (aliyevaa kofia) , akimabatana na timu yake katika zoezi la ugawaji wa vifaa vya shule kwa wanafunzi wa Chekechea, Shule ya Msingi na Sekondari Kata ya Mlimani Mtaa wa Ruvuma Manispaa ya Morogoro ikiwa ni maandalizi ya kilele cha Siku ya Watu wenye Ualbino Duniani inayotarajiwa kufanyika Kiataifa Mkoa wa Kagera Juni 13/2022.
Mwenyekiti wa Chama Cha Watu wenye Ualbino Mkoa wa Morogoro ( TAS), Hassan Mikazi, akigawa vitu kwa watoto.
Watoto wakiwa na Madaftari yaliyotolewa na TAS kwa kushirikiana na wadau .
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bungo Dimwe Kata ya Mlimani wakiwa na madaftari na Soksi walizopewa na TAS kwa kushirikiana na wadau.
Wadau na wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja.
Mwenyekiti wa Chama Cha Watu wenye Ualbino Mkoa wa Morogoro ( TAS), Hassan Mikazi, (kushoto) akitoa cheti cha shukrani kwa mwakilishi wa Kituo cha Msaada wa Kisheria Morogoro, Chediel Senzighe.
Post a Comment