Header Ads

PICHA MBALI MBALI ZA MATUKIO YA MKUTANO WA HADHARA ALIOUFANYA MKURUGENZI MANISPAA MOROGORO WA KUSIKILIAZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI LEO JANUARI 8, 2020 KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI ST.MONICA KIHONDA.

Meya Manispaa Morogoro , Mhe. Pascal Kihanga wakipitia baadhi ya vikaratasi vya kero pamoja na  Mkurugenzi Manispaa Morogoro, Sheilla Lukuba,katika mkutano wa kusikiliza na kutatua kero za Wananchi.

Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro , Sheilla Lukuba, akipeana mikono na Madiwani , (kulia) Diwani Kata ya Mafisa Mhe. Daudi Salum Mnadi, (katikatia) Diwani Kata ya Kihonda, Mhe.Hamisi Kilongo. 
Mstahiki Meya Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga akizungumza na Wananchi waliofika katika mkutano huo. 
Wananchi.

 
























No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.