Header Ads

Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro amtakia heri ya Kuzaliwa Mama Samia Suluhu Makamu wa Rais wa Tanzania

Leo ni kumbukumbu ya siku aliyozaliwa makamu wa Rais, mama Samia Hassan Suluhu.
#morogoromc.go.tz  tunakuombea mama Samia heri ya siku hii muhimu katika maisha yako, siku uliyoanza safari ya maisha hapa duniani.

''Mungu aendelee kukulinda na kukujalia afya njema. Akujalie hekima na busara katika kutimiza majukumu yako ya kifamilia na kitaifa.
HAPPY BIRTHDAY MAMA SAMIA HASSANI SULUHU !" @Sheilla Lukuba Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.