Header Ads

DC Gairo atangaza na kutoa pole msiba wa Baba mzazi DAS Gairo



Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Mchembe anasikitiks kutangaza kifo cha baba mzazi wa Katibu Tawala Wilaya ya Gairo Mzee Anthon Francis Selasela. Kiilichotokea Kiijijini cha Kiroka Wilaya ya Morogoro Vijijini tarehe 5/1/2019 saa kumi na moja alfajiri. Pole sana DAS Comrade Robert Selasela.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.