Header Ads

Yanga yaahirisha mkutano wake dhidi ya Wanahabari



Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopaswa kufanyika leo saa 7 mchana.

Yanga ilitangaza jana kuwa leo itaitisha kikao na Wanahabari ili kuzungumzia masuala mbambali yanayoihusu klabu hiyo.

Taarifa ya kuahirishwa kwa mkutano huo imeeleza kuwa ni sababu zisizozuilika, hivyo watapanga tarehe nyingine ya kikao hicho.



No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.