ELIMU YA KUTHAMINI AFYA YAKO YA NGOZI SASA INAPATIKANA AFYA ZAIDI CONSULTANTS
Je ulishawahi kumuuliza mtu mwenye chunusi, madoadoa, Alama nyeusi usoni, rangi mbalimbali katika mwili wake kuwa zimetokana na nini ili nawe ukatumie vitu alivyotumia na kumsababishia matatizo hayo?
Jibu lake ni hapana.
Je ulishawahi kumshauri mtu mwenye hayo matatizo kuacha kutumia Vipodozi hivyo?
Ni wachache hufanya hivyo lakini wengi wao huwashauri kutumia Vipodozi visivyo salama ili kumaliza tatizo lake bila kujua kuwa ndiyo anaendelea kuharibika na kupoteza mvuto wake.
Wengi wetu huwafuata waliotumia mikorogo ili na wao waweze kufanana kama hao. Usithubutu kufanya hivyo maana leo utauliza mtu aliyepata matokeo mazuri kwa sababu ya mikorogo ila ukipata matatizo kama vile Chunusi, madoadoa, Alama nyeusi usoni, au kuungua hakuna hata mmoja atakaekuja kukuuliza ulichotumia ili na yeye atumie badala yake watakutenga na kukupa ushauri usiofaa au usio na manufaa kwa afya yako. Usihangaike karibu AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS tukushauri na kukusaidia kuondoa tatizo lako.
Kama hujui aina ya vipodozi unavyotaka kutumia tutumie SMS na aina ya vipodozi unavyotumia ili tukushauri kama ni salama au si salama.
Namba:0719326693 au 0743422883.
Karibu AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS kwa usalama wa ngozi yako
Penda ngozi yako, jali ngozi yako, thamini ngozi yako.
JIPENDEZESHE LAKINI USIJIHARIBU.

Post a Comment