MAFUNZO MUHIMU KWAKO : BIASHARA YA VIPODOZI KUTOKA AFYA ZAIDI CONSULTANTS
AFYA ZAIDI CONSULTANTS WABOBEZI NA WATAALAMU WA USHAURI WA AFYA HAPA NCHINI WENYE UWALEDI WA HALI YA JUU, Wanakutangazia Darasa kubwa la AFYA ZAIDI CONSULTANTS ujifunze kuanzisha na kuendeleza biashara ya vipodozi vizuri na ufanikiwe katika biashara yako. Pia unaweza kumleta ndugu, jamaa au rafiki yako.
Mamo yafuatayo yatafundishwa:
SIKU : 28/4/2018 (LIVE! KUPITIA PROJECTOR)
MUDA : 3:00 ASUBUHI HADI SAA 11:00 JIONI
Vyakula, Vinywaji na Viburudisho vitagawiwa
bure
MAHALI : FAIRASA HOTEL, KARIAKOO
(Mtaa wa Muheza, Jirani na CHINA PLAZA)
MCHANGO : TSH 30,000/=
Hii inajumuisha ada ya mafunzo, notebook,
peni, kitabu cha ngozi na vipodozi, vyakula,
vinywaji, viburudisho na muongozo wa sheria
za biashara ya vipodozi (soft copy)
MAWASILIANO : 0719326693; 0743422883; info@afyazaidi.org
Pia unaweza kufika ofisini kwetu KARIAKOO
Mtaa wa Muheza na Tandamti au kutembelea
tovuti yetu : www.afyazaidi.org

MWISHO WA KUJISAJILI KWA MAFUNZO HAYA NI 26/4/2018 AU NAFASI ZITAKAPOISHA.
MALIPO NI KWA CASH OFISINI AU KUPITIA TIGO PESA NAMBA 0719326693 AU M-PESA NAMBA 0743422883
MALIPO NI KWA CASH OFISINI AU KUPITIA TIGO PESA NAMBA 0719326693 AU M-PESA NAMBA 0743422883
MAMBO UTAKAYOFUNDISHWA
1. UTANGULIZI - Vipodozi, Biashara na Biashara ya Vipodozi
2. KAZI ZA MAMLAKA ZA SERIKALI ZINAZOHUSIKA NA BIASHARA YAKO - TFDA, BRELA, TRA, Manispaa/Halmashauri ya Mji
3. JINSI YA KUANZA BIASHARA YA VIPODOZI KIHALALI
4. MTAJI UNAOFAA KUANZA NAO
5. MAMBO YA MUHIMU KUPANGA NA KUYAZINGATIA KABLA NA WAKATI WA KUANZA BIASHARA
6. JINSI YA KUCHAGUA ENEO ZURI LA KUWEKA BIASHARA YAKO
7. USIMAMIZI WA BIASHARA YAKO
8. VIPODOZI VINAVYORUHUSIWA KUUZWA
9. VIPODOZI VILIVYOKATAZWA
10. JINSI YA KUKUZA NA KUENDELEZA BIASHARA YAKO
11. MPANGILIO MZURI WA DUKA LAKO
12. MITINDO MBALIMBALI YA BIASHARA YA VIPODOZI
13. HUDUMA BORA KWA WATEJA
14. MAMBO MATANO YA MUHIMU KUZINGATIA
15. JINSI YA KUWASHAURI NA KUWAHUDUMIA WATEJA
WENYE MATATIZO MBALIMBALI - Chunusi, Madoadoa,
Michirizi, Makunyanzi, Harufu mbaya nk
16. OFA : MGAO WA VITABU VYA ELIMU YA MATUNZO YA
NGOZI NA VIPODOZI
17. KUELEWA VIZURI BIDHAA ZAKO, WATEJA WAKO NA
MATATIZO/MAHITAJI YAO
18. SHERIA ZINAZOONGOZA NA KUSIMAMIA BIASHARA YA
VIPODOZI
19. SEHEMU NZURI ZA KUNUNUA VIPODOZI VYAKO
20. JINSI YA KUJITANGAZA NA KUTANGAZA BIASHARA
YAKO BILA KUKIUKA SHERIA
21. VIPODOZI MBALIMBALI NA MATUMIZI YAKE
22. AINA MBALIMBALI ZA NGOZI NA NYWELE NA USHAURI WA KUWAPA WATEJA
23. MBADALA : JINSI YA KUANZA BIASHARA YA VIPODOZI KWA MTAJI MDOGO
24. MAJUMUISHO NA HITIMISHO
25. ZIARA YA KWENDA MADUKA YA VIPODOZI KARIAKOO

Jiandikishe sasa kabla nafasi hazijaisha. Piga simu namba 0719326693 au 0743422883 kwa maelezo zaidi na kisha lipia ili kuweka nafasi yako!
Post a Comment