Header Ads

Samatta ashindwa kuibeba Genk



Klabu ya KRC Genk anayoichezea Mtanzania, Mbwana Samatta, usiku wa jana imelazimishwa sare ya 0-0 ikiwa ugenini dhidi ya AA Gent kwenye mchezo wa Ligi Darala Kwanza A Ubelgij.

Katika mchezo huo, Samatta alianza kwenye kikosi cha kwanza na baadaye kutolewa kutolewa dakika ya 65 huku Mgiriki Nikolaus Karelis akichuka nafasi yake.

Hata hivyo mabadiliko hayo hayakuleta matokeo mazuri kwa Genk badala ya dakika zote 90 kumalizika kwa suluhu hiyo ikiwa ugenini.

Takwimu zinaonesha Samatta ameifungia Genk jumla ya mabao 22 tangu ajiunga nayo akitokea TP Mazembe ya DR Congo.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.