FAHAMU KWA KINA AFYA ZAIDI CONSULTANT WATAALAMU WA AFYA TANZANIA
Wataalam wa Afya na washauri wa matunzo ya ngozi na vipodozi. Tangu mwaka 2015 tumesaidia watu wengi sana kujua mambo mbalimbali kuhusu afya kwa ujumla, magonjwa, dawa, vyakula, matunzo ya ngozi na vipodozi.
Tumezidi kuwa bora na wa msaada zaidi kila siku. Tupo kwa ajili ya kusaidia kulinda na kuboresha afya yako na ya jamii nzima (ya Tanzania) kwa ujumla.
KWA NINI BADO TUNAPENDA KUTUMIA VIPODOZI VISIVYO SALAMA NA VILIVYOPIGWA MARUFUKU NA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA TANZANIA (TFDA)?
Kila mtu amezaliwa na ngozi nzuri yenye mvuto na muonekano mzuri. Lakini kwa sababu ya hatua mbalimbali za ukuaji wa mwanadamu hupitia katika kipindi kigumu ambacho humfanya aonekane tofauti na muonekano wake wa awali. Kipindi cha kubarehe mtu hutokwa na chunusi ambazo ndio chanzo kikubwa cha watu kuanza kutumia Vipodozi kwa lengo la kuziondoa bila kujua kuwa hiyo ni hatua mojawapo ya ukuaji wa mwanadamu.
Na wengi wamejikuta wakitumia Vipodozi vikali(visivyo salama) kwa kuamini kuwa vitasaidia kuondoa tatizo hilo na mwisho wake kujikuta wanazidi kujiharibu. Gharama ya kujiharibu ni ndogo ukilinganisha na gharama ya kutibu.
Leo asubuhi nilikuwa katika duka moja la vipodozi akaja mama mwenye umri si chini ya 45 na ameharibika sana usoni, lakini cha kushangaza aliagiza kipodozi ambacho ni hatari zaidi kwa afya yake. Na muuzaji alimpatia bila kujali hali ya yule mama.
Kama hujui aina ya vipodozi unavyotaka kutumia tutumie SMS na aina ya vipodozi unavyotumia ili tukushauri kama ni salama au si salama.
Namba:0719326693 au 0743422883.
Karibu AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS kwa usalama wa ngozi yako

Je ungependa kujua zaidi jinsi ya kuitunza ngozi yako? AFYA ZAIDI CONSULTANTS (www.afyazaidi.org) tumekuandalia kitabu chenye muongozo wa jinsi ya kuitunza ngozi yako na kukusaidia kufahamu vitu vinavyoweza kuharibu ngozi yako, jinsi ya kuipendezesha ngozi yako, aina za ngozi, vipodozi na jinsi ya kutumia Vipodozi sahihi vinavyoendana na ngozi yako. Bila kusahau kitabu kimekueleza vipodozi vyenye kemikali kali/sumu na madhara yatokanayo na Vipodozi visivyo salama, pia utapata kujua jinsi ya kutambua Vipodozi salama na visivyo salama pamoja na orodha ya vipodozi vilivyopigwa marufuku. Gharama ni Tsh 3,000 tu kwa sasa. Utakipata popote ulipo Tanzania, njoo ofisini kwetu Kariakoo mtaa wa Muheza na Tandamti (Dar es salaam) au tupigie simu kupitia namba 0719326693 au 0743422883 ili kuagiza cha kwako au kupata maelezo zaidi.
Post a Comment