Zijue Dalili na Visabishi vya Ugonjwa wa Pumu
Dalili za Pumu
- Kupata shida wakati wa kupumua
- Sauti ya kukoroma wakati unapumua
- Kikohozi
- Msongamano kifuani
- Kujisikia umechoka wakati ukifanya kazi yoyote ya nguvu
- Homa na vikohozi vya mara kwa mara
- Kukosa utulivu katika usingizi
Vitu vinachosababisha au kuamsha Pumu
- Tumbaku/sigara
- Sabubu za kimazingira kama uharibifu wa hewa sababu ya viwanda
- Uzito uliozidi
- Mfadhaiko/Stress, sononeko, na huzuni
- Kurithi
- Maambukizi mapafuni wakati wa utotoni
- Kuzaliwa mapema/njiti
- Baadhi ya vyakula kama samaki, soya, mayai, korosho nk
- Mazoezi
- Kiungulia
- Aleji
Post a Comment