Header Ads

Shule ya Sekondari Lake Tanganyika inawatangazia nafasi za masomo

Uongozi na umiliki uendeshaji mpya wa Shule ya Sekondar Lake Tanganyika unawatangazia watu wote nafasi za masomo kidato cha kwanza na Tatu.

Shule ina mazingira mazuri ya kujifunzia na kusomea kwa wanafunzi na pia shule ina walimu wa kutosha na wazoefu ada zetu ni 700,000 Laki Saba kwa mwaka na michango Laki na Hamsini kwa mwaka ada inalipwa kwa awamu Nne kila awamu 175,000.

kwa maelezo mengine tumia namba zifuatazo 0769697667 / 0745907094 kama kuna kuboresha  vizur sana.







No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.