Header Ads

Salah aweka rekodi tuzo za Mwanasoka bora Uingereza



Mohammed Salah ameweka rekodi nyingine ya kuwa mwanasoka bora wa mwezi Machi katika Ligi Kuu Bara.

Salah ameweka rekodi ya kuchukua tuzo tatu ndani ya miezi nane.

Kuanzia Agosti mwaka jana wakati Ligi Kuu msimu 2017-18 Salah amechukua tuzo mara tatu.

MIEZI NA TUZO:
Agosti - Sadio Mane
Septemba - Harry Kane
Oktoba - Leroy Sane
Novemba - Mohamed Salah
Decemba - Harry Kane
Januari - Sergio Aguero
Februari - Mohamed Salah
Machi - Mohamed Salah

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.