Header Ads

Mwandishi aokotwa akiwa hajitambui Dar

Mwandishi wa gazeti la The Guardian, Finnigan  Simbeye akiwa amelala chini baada ya kuokotwa huko Bunju, Dar es Salaam, akiwa taabani na majeraha.

Mwandishi wa gazeti la The Guardian, Finnigan  Simbeye ameokotwa  asubuhi ya leo kwenye eneo la Bunju Dar akiwa hajitambui na akiwa  na majeraha.

Taarifa kutoka kwa mashuhuda inasema mwandishi huyo ameokotwa akiwa na hali mbaya na  mjitihada za kufikisha hospitali zilikuwa zinafanyika haraka.



Kitambulisho cha mwandishi huyo kilichokutwa katika moja ya mifuko ya nguo zake wakati alipokutwa eneo hilo.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.