JE UMRI MZURI WA KUOANA NI UPI?
HATA katika vitabu vya dini vimeandika kuoa au kuolewa ni sheria kuzaa ni majariwa ndivyo waweza kusema lakini katika ndoa mara nyingi kunakuwa na changamoto zake yani raha na karaha, kwahiyo basi kabla hujaingia katika ndoa shariti laziam ujipange na changamoto za ndoa na kuweza kujenga misingi mizuri ya ndoa katika maisha yako.
Licha ya chanagamoto pia kunakitu wengi wetu tumekua tukikisahau mara nyingi kabla ya kuingi katika ndoa, hapa ni namaanisha umri wa kuoa na kuolewa na kuoa yani kuoana lakini hatuzingatii hivyo na badala yake tunajikuta tukiingia katika matatizo na migogoro katika ndoa zetu,
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako Mara nyingi kuoana kuna ambatana na kuzaa watoto.
Nivigumu sana sana kutambua umri sahihi wa mtu kuoa au kuolewa, kwa sababu watu wanatofautiana katika kuamua ni hivi yuko tayari kujitegemea na kuwajibika kumtunza mtu mwengine.Wengine wanakuwa tayari katika umri wa miaka 20 na wengine katika umri mkubwa zaidi.
Kwa vile, kuoa au kuolewa mara nyingi kuna husishwa na mtu kuwa mzazi, kuna vipengele vya kiafya vinavyofaa kuzingatia kwa mfano siyo vema msichana kuzaa kabla hajafikisha umri wa miaka 18 au 20, kwa sababu mwili wake hauko tayari kubeba mimba.
Nyonga ianakuwa bado ni nyembamba, viungo vya uzazi ni vidogo na laini kiasi ambacho vinaweza kuharibika wakati wa kuzaa mtoto.
Kwahiyo basi, wanashauriwa kuoana mpaka hapo mtakapokuwa mmejenga misingi mizri katiaka maisha yao.Kabla hujawa tayri kuo au kuolewa unawezakuwa na rafiki wa kike au wakiumeili taratibu muweze kuelewana tabia, yale anayoyapenda na asiyoyapenda na kujenga msingi wa mahusiano.
JIUNGE
NASI , BONYEZA
HAPA http://www.chombohurumedia .blogspot.com ku-install
App ya chombohurumedia, bila ya kuingia website
Tweet@chombo huru media,Youtube@chombo huru media, Facebook@chombo huru media, Instagram @chombohuru_media
Post a Comment