Header Ads

ZIARA YA KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI , ELIMU NA AFYA YA KUTEMBELEA MIRADI YA MANISPAA.



Msathiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pschal Kihanga (kushoto) akiteta jambo na Diwani wa Kata ya Mafiga , Mhe. Thomas Butabile.


Baadhi ya madarasa yaliyoangukiwa na mti shule ya Msingi Kilakala.



Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za uchumi, elimu na afya , ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kingo, Mhe. Amini Tunda(watatu kutoka kushoto), akizunghumza na wajumbe.
Miongoni mwa miradi iliyotembelewa ni pamoja na Shule ya Msingi Mafisa 'A', Kituo cha afya cha Sina Mafisa, Zahanati ya Tungi, Shule ya Msingi Kilakala, Kivuko cha daraja la Kichangani, Shule mpya  ya Sekondari ya Ghorofa Boma.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.