Header Ads

PICHA MBALIMBALI ZA UZINDUZI WA MISS MOROGORO 2021 JULAI 23/2021 HOTELI YA OASIS MANISPAA YA MOROGORO.

 

Mwakilishi wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Rona Lyimo (kulia) , aliyewahi kuwa Miss Morogoro mwaka 1995 (kulia),  akimwakilisha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru akipokea tuzo ya heshima. 

Mkurugenzi wa shindano la Miss Morogoro, Alexender Nikitas ,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi.

Mwakilishi wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Rona Lyimo (kulia) , aliyewahi kuwa Miss Morogoro mwaka 1995 (kulia),  akimwakilisha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru akipokea tuzo ya heshima. 

Afisa Uchaguzi Manispaa ya Morogoro Pendo Chagu (kushoto)  pamoja na fisa Michezo Manispaa ya Morogoro, Asteria Mwang'ombe (kulia) wakipokea tuzo za heshima wakiwawakilisha Mkuu wa Wilaya ya Morogoro na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro.

Afisa Michezo Manispaa ya Morogoro, Asteria Mwang'ombe (kulia) akipokea tuzo ya heshima akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Morogoro.

Katibu wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Ismail Kifaru, akimwakilisha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizka kwa uzinduzi.

                                                    
Majaji wakiongozwa na Diwani wa Kata ya Mkundi, Mhe. Seif Chomka (watatu kutoka kulia) , wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo ya Miss Top  Telent na Miss  Top Model. 
            
        
                                                        
              

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.