Header Ads

KIHONGOSI: CHAMA HIKI NI KIKUBWA KULIKO MTU, UVCCM TUMEFEDHEHESHWA NA KAULI ILE.


Katibu wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)Taifa  Ndg. Kenani Laban Kihongosi azungumza kwa uchungu na kuwataka viongozi walioaminiwa kuheshimu Chama kwani Chama ni kikubwa kuliko mtu yeyote. Kihongosi ameeleza kufedheheshwa na kauli iliyotolewa na mmoja wa viongozi wenye nafasi katika vikao vya maamuzi pia  ameahidi UVCCM haitasita kusema pale wanapoona uvunjifu wa maadili na misingi ya Chama.


#KaziIendelee

#TunaImaniNaSamia

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.