DC CHONJO AZINDUA UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI WADOGO. May 29, 2020 Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, akimkabidhi Kitambulisho Mwenyekiti wa Machinga Wilaya ya Morogoro, Faustine France. Mkuu ...Read More
DC CHONJO APOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KUTOKA KAMPUNI YA TAZAMA PIPELINE LIMITED VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 4,800,000/= May 29, 2020 Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, akipokea vifaa kinga kwa ajili ya kujikinga na ugonjwza wa CORONA kutoka kwa Afisa Utumish...Read More
DC CHONJO APOKEA MABATI M100 KUTOKA KAMPUNI YA UJENZI NANDHRA. May 28, 2020 Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, (kulia) akipokea Mabati yaliyotolewa na Kampuni ya Ujenzi ya Nandhra. Mabati yaliy...Read More
MANISPAA YA MOROGORO YAANZA UTOAJI WA TUZO ZA USAFI KATA NA MITAA. May 26, 2020 Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Manispaa ya Morogoro , Samwel Subbi,akiunguruma na Redio Sauti ya Uzima juu ya maandalizi ya tuz...Read More
MANISPAA YA MOROGORO YAPONGEZWA KUPATA HATI SAFI YA UKAGUZI HESABU ZA SERIKALI KIPINDI CHA MIAKA 4 MFULULIZO KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019. May 23, 2020 RC Morogoro Loata Sanare akiongoza Kikao cha Baraza Maalum Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Mei 22 mwaka huu 2020. Katibu Tawala M...Read More
Manispaa Morogoro yaja na suluhisho la kupunguza usumbufu kwa wananchi kufuata dawa maduka binafsi. May 21, 2020 Ujenzi wa Duka la Dawa Kituo cha Afya Sabasaba ukiendelea. HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro, imeaamua kutekeleza kwa vitendo ag...Read More
Katibu CCM Wilaya Morogoro Mjini awataka Madiwani kuwaeleza Wananchi Serikali ilichowafanyia katika Kata zao. May 20, 2020 Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Morogoro Mjini, Sofia Kibaba,akizungumza na na Madiwani katika Semina ya Mafunzo ya Maadi...Read More
MADIWANI MANISPAA YA MOROGORO WAMPONGEZA MKURUGENZI KWA KUANDAA SEMINA YA MAADILI YENYE KULETA CHACHU YA UWAJIBIKAJI KWA WANANCHI. May 20, 2020 Waheshimiwa Madiwani wakiwa katika Semina ya Maadili iliyoandaliwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro katika kuwajengea uwezo watendaj...Read More