Header Ads

JUKWAA LA WAZALENDO HURU MKOA WA MOROGORO WAFANYA DUA KUOMBEA WANAFUNZI MADARASA YA MITIHANI 2023


JUKWAA la Wazalendo Huru Mkoa wa Morogoro limefanya dua ya pamoja kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kwa ajili ya kuombea wanafunzi wa madarasa ya Mitihani ikiwemo Darasa la Saba , Kidato cha Pili na Kidato cha Nne mwaka 2023.

Dua hiyo imefanyika eneo la nyumba za Polisi Kota Morogoro Manispaa Septemba 06/2023 ambapo Jukwaa la Maridhiano na Amani Mkoa wa Morogoro  pamoja na Vyuo mbalimbali ikiwemo Chuo Kikuu Jordan , Chuo cha St. Joseph, SUA na wadau wa Mazingira.

Katika Dua hiyo, pia iliendana na tukio la upandaji wa Miti eneo la Polisi ambapo jumla ya miti 200 iliwezwa kupandwa katika eneo hilo.

JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.chombohurumedia .blogspot.com ku-install App ya chombohurumedia,  bila ya kuingia website

Tweet@chombo huru media,Youtube@chombo huru media, Facebook@chombo huru media, Instagram @chombohuru­­_media

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.