Header Ads

PICHA ZA KAMATI YA FEDHA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO WAKITEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO IKIWAMO WA UJENZI WA SOKO KUU LA KISASA , UJENZI WA STENDI MPYA YA DALADALA NA UJENZI WA CHOO KATIKA MNADA WA MIFUGO NANENANE KATA YA TUNGI.

Mstahiki Meya Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, (watatu kutoka kushoto) , wakiteta jambo na wajumbe wa Kamati ya Fedha mara baada ya kuwasili katika mradi wa ujenzi wa Stendi Mpya ya Daladala leo Desemba 12, 2019, (kushoto)Mhe. Ally Kalungwana Mwenyekiti wa Mipango Miji na Diwani wa Kata ya Mwembesongo, (kulia) Afisa Utumishi Manispaa ya Morogoro, Ndug Waziri Kombo. PICHA IDARA YA HABARI











Vyoo vya Stendi Mpya ya Daladala  Manispaa ya Morogoro.








Wajumbe Kamati ya Fedha wakiangalia zoezi la ujenzi wa Mto Kikundi unavyoendelea.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.