Header Ads

Shukrani kutoka kwa Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro juu ya Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Mji Mpya iliyo gharimu takribani Bilioni 1.4.





“Serikali imeleta hapa kwenye shule hii zaidi ya shilingi billion moja, hivyo ni jukumu letu kukagua namna fedha ya Serikali ilivyotumika, nashukuru Mungu kazi imekwenda vizuri, nichukue nafasi hii kuipongeza kamati ya shule iliyosimamia ujenzi huu lakini pia nikupongeze Mhe.  Mkuu wa Wilaya kwa kazi nzuri ya kusimamia kazi hii,” amesema Mkurugenzi Sheilla Lukuba.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.