TANGAZO KWA WADAIWA SUGU MANISPAA YA MOROGORO
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO, ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MUDA WA KULIPA KODI BILA YA ADHABU UNAISHA TAREHE 31 DESEMBA, 2019 MWAKA HUU.
WADAIWA WOTE WA SERVICE LEVY (HUDUMA ZA USHURU), HOTEL LEVY, LESENI ZA BIASHARA, USAJILI WA BAJAJI NA PIKIPIKI NA MAGARI YA BIASHARA, WADAIWA WA VIOSKI NA VIZIMBA PAMOJA NA WADAIWA WA MADENI YA MAUZO YA VIWANJA NA VIBALI VYA UJENZI MNAOMBWA KULIPA KWA MUDA ULIOPANGWA ILI KUEPUKA ADHABU.
KWA MAWASILIANO ZAIDI FIKA KATIKA OFISI YA MKURUGENZI WA MANISPAA UPATE CONTROL NUMBER KWA AJILI YA KUFANYA MALIPO YA KODI YAKO.
TANGANGAZO HILI LIMETOLEWA LEO TAREHE 17, DESEMBA 2019 NA MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOROGORO SHEILLA LUKUBA.
"LIPA KODI KWA MAENDELEO YA HALMASHAURI YAKO"
Post a Comment