Picha mbali mbali zikionesha ziara ya Wakuu wa Idara Halmashauri Manispaa Morogoro wakitembelea maeneo yaliyowasilisha maombi ya Vibali ikiwamo umegwaji wa Viwanja na ubadilishaji wa Matumizi.
| Nyumba iliyopo katika Eneo la Forest Kata ya Boma ambapo eneo hilo liliombewa kibali cha kuligawa Viwanja. |
| Wakuu wa idara wakishauriana baada ya kuwasili eneo hilo la Forest Kata ya Boma leo Desemba 10, 2019. |
| Wakuu wa idara wakishauriana jambo walipowasili katika Kata ya Kiwanja cha Ndege ambapo kiwanja namba 24, Block 'BB' |
Post a Comment