Header Ads

DC Kigamboni ajilipua sakata la Lissu




Mkuu wa wilaya ya Kigamboni ndugu Sarah Msafiri amekanusha madai ya kwamba serikali ndiyo ilihusika na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu kwa kile alichodai kuwa serikali ya Tanzania haina askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa mtu,

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.