Header Ads

Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa hadharani




Droo ya timu zitakazokutana hatua ya nusu fainali, Ligi ya Mabingwa Ulaya tayari imeshapangwa.

Liverpool itaanzia nyumbani dhidi ya AS Roma huku Real Madrid ikiwa ugenini kuikabili Bayern Munich.

Mechi za mkondo wa kwanza zitapigwa kati ya tarehe 24/25 Aprili 2018 huku za marudiano zikichezwa kati ya tarehe 1/2 May 2018.

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.