Header Ads

PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI MANISPAA YA MROROGORO YALIYOFANYIKA STENDI MPYA YA DALADALA MAFIGA DESEMBA 01/2020.

Watumishi wa Manispaa ya Morogoro wakiingia Uwanjani na Maandamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani .






Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mhe. Albinus Mgonya, akizungumza na Vijana waliopata Mkopo wa Bodaboda Manispaa ya Morogoro katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika eneo la Stendi Mpya ya Daladala Mafiga.













Watumishi wa Manispaa ya Morogoro.

Afisa Maendeleo ya Jamii Enedy Mwanakatwe (kushoto) akisoma taarifa fupi ya Mkopo kwa Vikundi viwili  vya Bodaboda vilivyopatiwa mkopo na Manispaa ya Morogoro. (kulia) Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Pili Kitwana.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Albinus Mgonya akipitia taarifa za hali ya Maambukizi ya UKIMWI ilivyo katika Mkoa wa Morogoro.

 

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.