Header Ads

MEYA MANISPAA ILALA ATATUA MGOGORO WA KUFUNGA BARABARA MTAA WA MALIKI UPANGA


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Mhe. Omary Kumbilamoto (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Jumanne Shauri (kulia), katikati Diwani wa Kata ya Upanga Magharibi, Mhe. Adinan Nondo.
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mhe. Mussa Azzan Zungu,(kushoto) akijadili jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Jumanne Shauri pamoja na Diwani  Diwani wa Upanga Magharibi , Mhe. Adinan Kondo wakati wa utatuzi wa mgogoro wa barabara iliyofungwa Mtaa wa Maliki Kata ya Upanga Magharibi.

 MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe.  Omary Kumbilamoto, ameingilia katia mgogoro uliokuwa ukiendelea wa kufungia barabara ya Maliki Kata ya Upanga.

Tukio hilo limefanyika Desemba 29 /2020 Mtaa wa Maliki Upanga akiambatana na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Jumanne Shauri pamoja na Diwani  Diwani wa Upanga Magharibi , Mhe. Adinan Kondo.


No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.