Header Ads

MEYA MANISPAA MOROGORO AWATAKA MADIWANI KUZINGATIA MAADILI KATIKA UTENDAJI WAO.

 

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, (kulia) akiwa na Afisa Utumishi wa Manispaa ya Morogoro, Pili Kitwana wakihudhuria Semina ya Mafunzo ya Maadili kwa Madiwani.        
                                             
Diwani wa Kata ya Kilakala, Mhe. Marco Kanga, akizungumza jambo wakati wa Semina hiyo.
Afisa kutoka Secretarieti ya Maadili Kanda ya Mashariki Morogoro na Tanga , Zaynab Kissoky ,akitoa maada kwa Madiwani.           
                     
Wakufunzi kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo.

Iwananchi wake” Amesena Mhe. Kanga.

Kwa upande wa Afisa kutoka Secretarieti ya Maadili Kanda ya Mashariki Morogoro na Tanga , Zaynab Kissoky , amesema lengo la kutoa mafunzo hayo ni kutokana na  changamoto mbalimbali katika upande wa maadili kwa Watumishi wa Umma  kitu kinachopunguza ufanisi katika kufikia malengo ya kazi.

Mbali na mafunzo amesema Madiwani watajaza  na kusaini hati ya uadilifu kama ilivyo kwa viongozi wengine wa Umma.

Miongoni mwa maada zilizowasilishwa ni pamoja na Historia ya Uhalali wa SM, Sheria za Uendeshaji wa Mamlaka ya MSM, Muundo, Madaraka na Majukumu ya MSM,Maadili, pamoja na Taratibu za Uendeshaji wa Vikao na MSM.

 

 

1 comment:

  1. Lazima tujifunze ili tukawafunze wengine.Hongera Sana mh msatahki meya Manispaa ya Morogoro.

    ReplyDelete

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.