TANGAZO LA MKUTANO MAALUM BARAZA LA MADIWANI KUPITISHA BAJETI YA HALMASHAURI MWAKA WA FEDHA 2020/2021
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO, SHEILLA EDWARD LUKUBA, ANAWATANGAZIA WANANCHI NA WAKAZI WOTE WA MANISPAA YA MOROGORO KUWA TAREHE 17/02/2020 SIKU YA JUMATATU UTAFANYIKA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI CHA KUPITISHA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021.
KIKAO KITAANZA SAA 3:00 ASUBUHI KWENYE UKUMBI WA MKUTANO WA MANISPAAWANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUFIKA KATIKA KIKAO HICHO.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA TAREHE 14 FEBRUARI.
Post a Comment