MANISPAA YA MOROGORO YAZINDUA JARIDA TOLEO JIPYA
| Afisa Habari Manispaa Morogoro , Lilian Henerico , akizindua rasmi Jarida la Toleo Jipya leo. |
| JARIDA LA MWEZI TOLEO NO.1 MWEZI DISEMBA 2019. |
| Afisa Elimu Msingi, Abdully Buhety, akionesha Jarida jipya mara baada ya kukabidhiwa Ofisni kwake. |
| Mhasibu wa Manispaa Morogoro, Achimpota Theodore akiwa na Toleo Jipya la Jarida la Manispaa. |
| Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro, Dr. Ikaji Rashidi akionesha Jarida hilo leo. |
Post a Comment