Header Ads

MKURUGENZI MANISPAA YA MOROGORO AWAJULIA HALI WAGONJWA WALIOJERUHIWA NA TEMBO

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, akisalimiana na mmoja wa Wagonjwa, Edga Edbert (26) Mkazi wa Kata ya Tungi Mtaa wa Mji Mwema mwanafunzi wa Kidato cha tano na sita shule ya Sekondari Alfagems   aliyejeruhiwa na Tembo majira ya saa 9 usiku akielekea shuleni. Mwengine aliyejeruhiwa ni John Mhaha (54) mkazi wa Kata ya Mkundi Mtaa wa Kipera aliyejeruhiwa saa 11 alfajiri akielekea kazini.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba(kushoto) akipokelewa na muuguzi katika Hospitali hiyo Wodi ya Mifupa 1Bkwa wanaume.



Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba (kushoto) akiwa pamoja na Afisa Habari Manispaa ya Morogoro, Lilian Henerico wakitoka  katika Wodi ya Mifupa 1B kuwaangalia wagonjwa waliojeruhiwa na Tembo leo Februari 15, 2020.






No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.