Watu 6 wafariki katika jali ya helikopta walipokuwa katika mafunzo Habarovsk Mashariki mwa Urusi. Taaraifa ya ajali hiyo imetolewa na kituo cha habari cha TASS.
Helikopta iliofanya ajali ni helikopta aina ya MI-8. Helikopta hiyo ilipata ajali wakati ikikaribia uwanja wa ndege. Helikopta hiyo iliwaka moto na kusababisha vifo hivyo vya watu 6.
Post a Comment