Header Ads

ZIARA YA MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE KIJIJI CHA MATULI JUU YA UVAMIZI WA TEMBO.


MBUNGE wa Jimbo la Chalizne, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amefanya ziara katika kata ya Bwilingu, Kijiji Cha Matuli akiongozana na  Diwani wa Kata Ndugu Nassar Tamim kuangalia na kuzungumza na Wananchi juu ya Kadhia ya Uvamizi wa Kijiji Chao na Wanyama Tembo.Juhudi za Serikali kurejesha Amani Zimeanza.

#ChalinzeKaziTu

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.