Header Ads

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI 2021.


            

  






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko baada ya kufungua Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini lenye kauli mbiu "Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu" katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam leo Febuari 22,2021

No comments

Theme images by A330Pilot. Powered by Blogger.