Wenye Kombe la Dunia yapigwa 3-0 na Brazil

Willian wa Brazil akimtoka Denis Glushakov wa Urusi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Olimpiyskiy Luzhnik, Moscow. Brazil ilishinda 3-0, mabao ya Joao Miranda dakika ya 53, Philippe Coutinho dakika ya 62 kwa penalti na Paulinho dakika ya 66
Post a Comment