Mkuu wa Kamati ya usajili wa klabu ya Yanga, Hussein Nyika, akithibitisha kuwa Mshambuliaji wao, Donald Ngoma, ameshapona na ataanza mazoezi Alhamis ya wiki hii.
Post a Comment